Natafuta kazi ya jikoni - kuuza chipsi, kuku, supu n.k

2.5k KWA SIKU/ LABDA UJENGE YA KWAKO
 
Wee muda wote uliofanya hiyo kazi mpaka ukabobea kiasi hicho ulishindwa kutafuta mtaji na kujiajiri mwenyewe.
 
2.5k KWA SIKU/ LABDA UJENGE YA KWAKO
Mkuu DALALI MKUU ikiwa huna mbinu lazima useme hivyo ulivyosema, ila kwakuwa watu wana mbinu tofauti kubali tu kuwa kuna watu wamekuzidi kitu fulani kwenye jambo fulani.
Maisha ya kila siku yanakupasa uulize sana maana ndio namna pekee ya kumfanya mtu aongee kile alichokificha rohoni.
 
Kiongee tu la elfu mbili labda upate huko kwenye migahawa ya uswahilini ila Bar mfano kama Kibozone jiko kwa siku ni 30k, Kitambaa Cheupe ndio usipime. Kuna bar moja kibaha nilikuwa nalipa elfu arobaini kwa kila siku na Lilikuwa jiko la kitimoto tu na Supu
 
Hiyo 30k ningekuwa na wewe ungelipa 10k tu na usingeamini bro.
 
Wee muda wote uliofanya hiyo kazi mpaka ukabobea kiasi hicho ulishindwa kutafuta mtaji na kujiajiri mwenyewe.
Nyakati zinabadilika nchi zinafilisika, mashirika ambayo ni multi million dollars yanacolapse sèmbuse individual bro?
Umeuliza swali lililonipa fadhaa sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…