DALALI MKUU
JF-Expert Member
- May 7, 2022
- 2,011
- 4,705
2.5k KWA SIKU/ LABDA UJENGE YA KWAKOWakuu niwasaidie kitu, kwenye kuanza biashara yoyote ile usifunge mkataba mnono na mwenye bar au nyumba. mwanzoni ikibidi mgrind to the maximum ukifanikiwa kwa hilo baadae utakuja kuishukuru hii comment yaani mfano hapo nimeona jiko per day 5k wewe funga nae siku 30 tu za matazamio kwa hiyo hiyo 5k yake kwanza, kisha ukijiridhisha na consumption ya bidhaa yako unafunga nae mkataba wa 2.5k per day..