P Accountant
JF-Expert Member
- Sep 26, 2020
- 371
- 182
Is Education every thing or Experience of a Work, Why Cv Don’t WorkHabari za wakati huu ndugu zangu.
Mie ni kijana wa kiume, ninaishi Dar es salaam. Natafuta kazi ya kufanya (kibarua) aina yoyote, walau niweze kuishi na kupata chakula. Hali nayopitia sasa ni ngumu sana.
Elimu yangu:
Shahada ya Uhasibu
Ujuzi:
Microsoft office
Excel
Computer
Kazi nazo weza kufanya.
√House boy
√Shamba boy
√Duka
√Wakala M-Pesa, Tigo pesa n.k
√Usafi wa mazingira
√Msaidizi fundi ujenzi
√Mhasibu
√Finance Officer
Uzoefu:
Mhasibu msaidizi (miezi sita)
Kwa taarifa zaidi karibuni inbox.
Naombeni mnipe kazi wakuu wangu, hali ngumu sana.
Ukiona hadi Graduate wa Shahada amekubali kufanya kazi za shamba boy kweli hali ya ajira ni ngumu sana 🙌
Pole sana Mkuu
Mashaka ni yako mkuu.. Kama huwez kumsaidia basi ni vyem ukakaa kimya ili usisababishe na wengine wasite kumsaidiaJamaa muongo huyo mtiriko wa maneno yake mwenyewe unatia mashaka.
Bora hata useme wee, yaan humu watu wapo kuzuia mafanikio na utafutaji wa mtu.Mashaka ni yako mkuu.. Kama huwez kumsaidia basi ni vyem ukakaa kimya ili usisababishe na wengine wasite kumsaidia
Jichanganye na mafundi ujenziHabari za wakati huu ndugu zangu.
Mie ni kijana wa kiume, ninaishi Dar es salaam. Natafuta kazi ya kufanya (kibarua) aina yoyote, walau niweze kuishi na kupata chakula. Hali nayopitia sasa ni ngumu sana.
Elimu yangu:
Shahada ya Uhasibu
Ujuzi:
Microsoft office
Excel
Computer
Kazi nazo weza kufanya.
√House boy
√Shamba boy
√Duka
√Wakala M-Pesa, Tigo pesa n.k
√Usafi wa mazingira
√Msaidizi fundi ujenzi
√Mhasibu
√Finance Officer
Uzoefu:
Mhasibu msaidizi (miezi sita)
Kwa taarifa zaidi karibuni inbox.
Naombeni mnipe kazi wakuu wangu, hali ngumu sana.
Omba Mungu yasikukute...huwezi jua wakati anaandika huu ujumbe alikuwa kwenye njaa kali na ndio sababu ya mtiririko kama unavyouona mkuundu gu wewe!Jamaa muongo huyo mtiriko wa maneno yake mwenyewe unatia mashaka.
ExactlyGradueti, kweli?
Ukiona hadi Graduate wa Shahada amekubali kufanya kazi za shamba boy kweli hali ya ajira ni ngumu sana 🙌
Pole sana Mkuu
Uongo ukowapi Boss.Jamaa muongo huyo mtiriko wa maneno yake mwenyewe unatia mashaka.
Ila Mungu atatenda Siku MojaAsante sana Mkuu, hakika hali ngumu
Amen! Mwenyezi Mungu ndie ajuae kesho yetuIla Mungu atatenda Siku Moja
Tumeagizwa kuomba bila kuchoka 🙏
Kabisa MkuuAmen! Mwenyezi Mungu ndie ajuae kesho yetu
Hakika atatenda, hakuna kukata tamaa.Kabisa Mkuu
Maandiko yanasema, alitujua tangu tukiwa tumboni mwa Mama zetu
Kama Kwa wengine, amefanya vipi kwetu/kwako 🙏
Shukrani Mkuu
🙏🙏Hakika atatenda, hakuna kukata tamaa.