Natafuta kazi ya kufanya aina yoyote

Natafuta kazi ya kufanya aina yoyote

Habari za wakati huu ndugu zangu.

Mie ni kijana wa kiume, ninaishi Dar es salaam. Natafuta kazi ya kufanya (kibarua) aina yoyote, walau niweze kuishi na kupata chakula. Hali nayopitia sasa ni ngumu sana.

Elimu yangu:
Shahada ya Uhasibu

Ujuzi:
Microsoft office
Excel
Computer

Kazi nazo weza kufanya.
√House boy
√Shamba boy
√Duka
√Wakala M-Pesa, Tigo pesa n.k
√Usafi wa mazingira
√Msaidizi fundi ujenzi
√Mhasibu
√Finance Officer

Uzoefu:
Mhasibu msaidizi (miezi sita)

Kwa taarifa zaidi karibuni inbox.

Naombeni mnipe kazi wakuu wangu, hali ngumu sana.
Unategemea kulpwa tshs ngap kwenye uwakala ?
 
Habari za wakati huu ndugu zangu.

Mie ni kijana wa kiume, ninaishi Dar es salaam. Natafuta kazi ya kufanya (kibarua) aina yoyote, walau niweze kuishi na kupata chakula. Hali nayopitia sasa ni ngumu sana.

Elimu yangu:
Shahada ya Uhasibu

Ujuzi:
Microsoft office
Excel
Computer

Kazi nazo weza kufanya.
√House boy
√Shamba boy
√Duka
√Wakala M-Pesa, Tigo pesa n.k
√Usafi wa mazingira
√Msaidizi fundi ujenzi
√Mhasibu
√Finance Officer

Uzoefu:
Mhasibu msaidizi (miezi sita)

Kwa taarifa zaidi karibuni inbox.

Naombeni mnipe kazi wakuu wangu, hali ngumu sana.
UTapata nakuombea kwa Mungu
 
Habari mkuu,,

Nauliza endapo unahitaji mtu ambaye yupo dar es salaam kuhusu issue ya kazi, Kama ulivyo eleza kwa comment ya mshikaji.
DP yako hamna mtu anaweza kuiona akakupa kazi.

Vitu vingine msivichukulie vya kawaida,vina kutafsiri wewe ni mtu wa aina gani.

Kazi zipo ila unapotafuta ajira/kibarua online kwa mtu asiekufahamu hakikisha unaficha uhalisia wako hasa ule ambao jamiii bado hatujauelewa.
 
Back
Top Bottom