Natafuta kazi ya kufanya aina yoyote

Unategemea kulpwa tshs ngap kwenye uwakala ?
 
UTapata nakuombea kwa Mungu
 
Habari mkuu,,

Nauliza endapo unahitaji mtu ambaye yupo dar es salaam kuhusu issue ya kazi, Kama ulivyo eleza kwa comment ya mshikaji.
DP yako hamna mtu anaweza kuiona akakupa kazi.

Vitu vingine msivichukulie vya kawaida,vina kutafsiri wewe ni mtu wa aina gani.

Kazi zipo ila unapotafuta ajira/kibarua online kwa mtu asiekufahamu hakikisha unaficha uhalisia wako hasa ule ambao jamiii bado hatujauelewa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…