NATAFUTA KAZI YA KUFUNDISHA BIOS NA CHEMISTRY SHULE ZA BINAFSI ZINAZOLIPA VIZURI

NAMBA MOJA AJAYE NCHINI

JF-Expert Member
Joined
Oct 29, 2019
Posts
10,004
Reaction score
21,312
Wanabodi mimi ni mwalim wa masomo ya Biology na Chemistry!nimeajiriwa na serekali takribani miaka saba imepita!!Nataka nifundishe shule za private zenye mshahara mnono!!!Nina shahada ya sayansi katika elimu kutoka UDSM-DUCE!
 
Unasema una masters?
 
Tuma maombi kwenye shule unazotaka

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tuma maombi kwenye shule unazotaka

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu jamaa anaweza dhania labda umemjibu vibaya ila hii itamsaidia akizingatia..... atafute scul inayolipa vizuri then aende kwanza akaongee MA mkuu wa shule awe na project ambazo zitaonesha atakavyowasaidia wanafunzi na shule kwa ujumla pia awe na matokeo yake yote kwahiyo miaka 7 atapata..... but scul nyingi private hawalipi vizuri sema sababu watu hawapendagi taja mishahara kuna mwalm alifundisha toka 2006 hadi mwaka 2017 akawa analiowa laki 3 sema sahizi amejiongeza Yupo kwingine anachukua m1.6

Ni shule gani hiyo mkuu???
 
Back
Top Bottom