Aliko Musa
JF-Expert Member
- Aug 25, 2018
- 209
- 315
Naitwa Aliko Musa. Ninaishi Mbeya mjini. Mimi ni mwandishi na mshauri mbobezi wa masuala ya uwekezaji kwenye ardhi na majengo.
Ninaandika makala kupitia mtandao wa UWEKEZAJI MAJENGO BLOG. Kupitia mtandao huu ninawashirikisha watu mbinu bora za kuwekeza kwenye ardhi na majengo ili kujenga utajiri mkubwa.
Nimesoma PCB baadaye nikajiunga na chuo Kikuu cha Dodoma. Sikufanikiwa kumaliza masomo.
Nilianza uandishi kuhusu uwekezaji kwenye ardhi na majengo mwaka 2017, Disemba.
Moja ya njia ambayo nimechagua kujenga mafanikio makubwa ni kupitia uwekezaji huu.
Leo napenda kukuomba nifanye kazi na wewe kwenye taasisi yako inahusu mambo ya ardhi na majengo.
Lengo kuu ni mimi kujifunza kwa vitendo kabla sijafungua kampuni yangu ya uwekezaji kwenye ardhi na majengo.
Kazi Yangu Ya Sasa.
Nimeajiriwa moja ya taasisi ambapo ninapata muda wa siku 15 hadi 18 kila mwezi za kuwa huru.
Hivyo kwa muda huu wa siku 15 kila mwezi, naomba nifanye kazi na wewe kwenye taasisi/kikundi/kampuni yako.
Kampuni/taasisi/vikundi ninavyoweza kufanya navyo kazi ni kama ifuatavyo;-
✓ Kampuni za ujenzi wa nyumba mbalimbali.
✓ Kampuni zinazomiliki nyumba za kupangisha.
✓ Watu wanaomiliki nyumba kubwa (hoteli/moteli/hosteli) za kupangisha na wanahitaji usimamizi.
✓ Kampuni au vikundi vinavyotoa huduma za mikopo ya ardhi na majengo.
✓ Kampuni za udalali wa ardhi na majengo.
✓ Kampuni za kununua na kuuza viwanja na mashamba.
✓ Kampuni za kutangaza kuuzwa kwa nyumba au viwanja kwa njia ya minada ya hadhara.
ENEO LA KAZI.
Nipo tayari kufanya kazi katika mji wa Mbeya na miji ya karibu kulingana na mahitaji yenu.
Nipo tayari kufanya kazi bila malipo. Kwangu mimi ukinipa nafasi utakuwa umenisaidia sana.
Naomba wewe rafiki yangu unisaidie kuwashirikisha wengine TANGAZO hili. Nahitaji kutumia kile nilichonacho sehemu ambayo nitapata uzoefu kuhusu ardhi na majengo.
Kwa maelezo zaidi naomba unipigie kupitia namba hii.
WhatsApp/calls: 0752 413 711.
Ni Mimi,
Aliko Musa.