Natafuta kazi ya ualimu wa shule binafsi kwa masomo ya Physics na Mathematics kwa ngazi ya O-level

ajent45

Senior Member
Joined
Mar 20, 2017
Posts
159
Reaction score
162
Habari zenu wa ndugu,

Mimi ni kijana wa miaka 29 nina degree ya ICT na pia nina advance diploma in education na nina uzoefu wa kufundisha kwa miaka minne sasa kwenye shule fulani ya serikali hapa dar kwa mkataba wa kujitolea na malipo madogo ya posho.

Nina ujuzi wa kutosha wa kuwapa watoto maarifa na kuhakikisha wanafanya vizuri katika masomo hayo hasa physics ndo sababu ya kuendelea kuaminiwa na kuwepo hapo shuleni.

Kwa sasa naona nahitaji changamoto mpya kupata sehemu nyingine ambayo inaweza kuwa na maslahi mazuri zaidi hasa katika mwaka huu mpya ili nifanye kazi yangu kwa bidii na ufanisi mkubwa.

Nimehangaika nimekosa connection, anayeweza nisaidia please namba yangu ni 0629747190.

Ahsanteni sana.
 
Kila la kheri mkuu?

Hivi haujawahi kufanya maombi yeyote ya kazi Utunishi/PSRS?
nimewahi ila kwa upande wa ICT na nishaenda interview kibao ila sijaafanikiwa kupata naishia kwenye practical interview au oral lakini sipati
 
Badi endelea kukomaa kote kote ili uongeze wigo wa kupata nafasi.

Hizi interview za juzi za TRA ulifanya?
 
Habari zenu wa ndugu,
Mimi ni kijana wa miaka 29 nina degree ya ICT na pia nina advance diploma in education na nina uzoefu wa kufundisha kwa miaka minne sasa kwenye shule fulani ya serikali hapa dar kwa mkataba wa kujitolea na malipo madogo ya posho.
Nina ujuzi wa kutosha wa kuwapa watoto maarifa na kuhakikisha wanafanya vizuri katika masomo hayo hasa physics ndo sababu ya kuendelea kuaminiwa na kuwepo hapo shuleni.
Kwa sasa naona nahitaji changamoto mpya kupata sehemu nyingine ambayo inaweza kuwa na maslahi mazuri zaidi hasa katika mwaka huu mpya ili nifanye kazi yangu kwa bidii na ufanisi mkubwa .
Nimehangaika nimekosa connection, anayeweza nisaidia please namba yangu ni 0629747190.
Ahsanteni sana.
Unaweza fundisha shule ya Msingi? Kuanzia darasa la tano, masomo ya sayansi na Hisabati? (English medium)
 
Nenda kaombe kazi Abbey secondary school Ndanda Mtwara wana mshahara mzuri na wanahitaji mwalimu wa masomo ya sayansi. Ukitaka namba ya headmaster nakupa
 
naishi Dar kama kuna shule unaifahami hapa dar naomba namba ya headmaster wake
 
Back
Top Bottom