ajent45
Senior Member
- Mar 20, 2017
- 159
- 162
Habari zenu wa ndugu,
Mimi ni kijana wa miaka 29 nina degree ya ICT na pia nina advance diploma in education na nina uzoefu wa kufundisha kwa miaka minne sasa kwenye shule fulani ya serikali hapa dar kwa mkataba wa kujitolea na malipo madogo ya posho.
Nina ujuzi wa kutosha wa kuwapa watoto maarifa na kuhakikisha wanafanya vizuri katika masomo hayo hasa physics ndo sababu ya kuendelea kuaminiwa na kuwepo hapo shuleni.
Kwa sasa naona nahitaji changamoto mpya kupata sehemu nyingine ambayo inaweza kuwa na maslahi mazuri zaidi hasa katika mwaka huu mpya ili nifanye kazi yangu kwa bidii na ufanisi mkubwa.
Nimehangaika nimekosa connection, anayeweza nisaidia please namba yangu ni 0629747190.
Ahsanteni sana.