Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ok endelea kutafuta kazi Dar hapohaponaishi Dar kama kuna shule unaifahami hapa dar naomba namba ya headmaster wake
Kama ni Dar, mimi sina namba ya headmaster yoyote yule.naishi Dar kama kuna shule unaifahami hapa dar naomba namba ya headmaster wake
Hellow naomba namba yake huyo head master mm nahitaji nitumie 0765261930Kama ni Dar, mimi sina namba ya headmaster yoyote yule.
Nilikuambia Abbey, Ndanda kwa sababu pale kupita interview ni rahisi na kuna mshahara mzuri. Kuna walimu wawili pale mmoja wa Advance&O level mwingine wa Advance wote wamechomolewa Canossa kwa ajili ya kufundidha Biology na Chemistry wanafundisha Abbey,Ingawa Canossa ni shule kubwa ila walimu hawataki kurudi Canossa na ukiwauliza sababu wanasema ni mshahara. Walimu wote wawili hao wanafanya kazi Abbey lakini wanajenga nyumba Dar kupitia mshahara unaoridhisha. Nyumba za walimu zipo na unaishi muda wowote hadi mkataba utakapoisha, maisha sio magumu pale, maji ni ya baridi na ni bure yapo saa 24 kwa sababu yanamilikiwa na kusambazwa na shirika la Wabenediktini ambalo ndio linamiliki shule hiyo. Umeme muda wote upo. Au umeogopa baada ya kusikia ni Mtwara? Kuna eneo la mission pale Ndanda na kuna hospitali ya rufaa kubwa tu,umeme wanatumia wa kwao wenyewe na maji ya baridi yanatoka kwenye chemchemi ya Ndanda(Ndanda Spring), huduma zote za kijamii utapata pale, Ndanda ni mjini pamechangamka na pia ni karibu na Masasi town, watu hutoka Ndanda na kwenda Masasi kumpumzika weekend days na kutoka Ndanda hadi Masasi ni mwendo wa dakika 20, Masasi ni mji mzuri una restaurants nyingi, hoteli yaani kwenye biashara ni mji mzuri sana. Walimu kibao wa Abbey wana biashara zao Masasi na zinawaendea vizuri sana kwa hiyo mkuu usije ukadhani ninanakushauri uende porini, ujue kabisa kutoka Dar hadi Ndanda hadi Masasi na kuendelea ni full lami na ni mwendo wa saa 8 tu. Na Abbey ni shule ni nzuri tu mwaka jana iliingia top 30 matokeo ya form 4. Zaidi ya 80% ya wanafunzi wa Abbey wanatoka Dar, wa kusini ni wachache kwa sababu hawawezi kumudu gharama za ada (TSh 2,750,000/=)
Sasa walimu wanaofundisha Physics na masomo ya Sayansi kiujumla kwa sasa ni wachache na wengine wanakaribia kustaafu na walimu wengi wanaforce kutafuta ajira Dar wakati Mtwara kuna ajira yenye mshahara mzuri sana. Mwalimu wa Sayansi aliyekuwa anategemewa sana kwenye Sayansi O-level mwaka juzi (2021) alihama baada ya mkataba wake kuisha na hakutaka kuongeza mkataba kwa sababu alipata ajira sehemu nyingine. Mwaka jana (2022) kumekuwa na shida katika ufundishaji wa masomo haya o-level na kufanya mwalimu mmoja wa Advance huyohuyo afundishe na Form four pia. Sasa wewe inaonekana kabisa kila unachokitafuta kinapatikana Abbey kwa 100%, ila unataka ajira Dar tena hata ukipata nina imani mshahara wake hautaridhisha kama wa Abbey na mwaka huu (2023) kuanzia hii January walimu wa Abbey wameongezewa mishahara kwa sababu Shirika la Kijerumani linalomiliki shule hiyo lina pesa sana. Sasa kwa nini usiende huko mkuu?
Uamuzi ni wako kama unataka ajira utaniomba namba ya headmaster, kama hautaki basi endelea kutafuta ajira huko Dar. Mungu akutangulie
Kila la heri[emoji5][emoji5]
aloooh nataman ningekua na degree yang now niombe namba piaaaKama ni Dar, mimi sina namba ya headmaster yoyote yule.

Ndugu naomba nisaidie namba ya headmaster...Mimi ni mwalimu wa Biology & Computer studies..namba yangu 0685726004( sms,call, WhatsappNenda kaombe kazi Abbey secondary school Ndanda Mtwara wana mshahara mzuri na wanahitaji mwalimu wa masomo ya sayansi. Ukitaka namba ya headmaster nakupa
Hellow naomba namba ya headmaster....Kama ni Dar, mimi sina namba ya headmaster yoyote yule.
Nilikuambia Abbey, Ndanda kwa sababu pale kupita interview ni rahisi na kuna mshahara mzuri. Kuna walimu wawili pale mmoja wa Advance&O level mwingine wa Advance wote wamechomolewa Canossa kwa ajili ya kufundidha Biology na Chemistry wanafundisha Abbey,Ingawa Canossa ni shule kubwa ila walimu hawataki kurudi Canossa na ukiwauliza sababu wanasema ni mshahara. Walimu wote wawili hao wanafanya kazi Abbey lakini wanajenga nyumba Dar kupitia mshahara unaoridhisha. Nyumba za walimu zipo na unaishi muda wowote hadi mkataba utakapoisha, maisha sio magumu pale, maji ni ya baridi na ni bure yapo saa 24 kwa sababu yanamilikiwa na kusambazwa na shirika la Wabenediktini ambalo ndio linamiliki shule hiyo. Umeme muda wote upo. Au umeogopa baada ya kusikia ni Mtwara? Kuna eneo la mission pale Ndanda na kuna hospitali ya rufaa kubwa tu,umeme wanatumia wa kwao wenyewe na maji ya baridi yanatoka kwenye chemchemi ya Ndanda(Ndanda Spring), huduma zote za kijamii utapata pale, Ndanda ni mjini pamechangamka na pia ni karibu na Masasi town, watu hutoka Ndanda na kwenda Masasi kumpumzika weekend days na kutoka Ndanda hadi Masasi ni mwendo wa dakika 20, Masasi ni mji mzuri una restaurants nyingi, hoteli yaani kwenye biashara ni mji mzuri sana. Walimu kibao wa Abbey wana biashara zao Masasi na zinawaendea vizuri sana kwa hiyo mkuu usije ukadhani ninanakushauri uende porini, ujue kabisa kutoka Dar hadi Ndanda hadi Masasi na kuendelea ni full lami na ni mwendo wa saa 8 tu. Na Abbey ni shule ni nzuri tu mwaka jana iliingia top 30 matokeo ya form 4. Zaidi ya 80% ya wanafunzi wa Abbey wanatoka Dar, wa kusini ni wachache kwa sababu hawawezi kumudu gharama za ada (TSh 2,750,000/=)
Sasa walimu wanaofundisha Physics na masomo ya Sayansi kiujumla kwa sasa ni wachache na wengine wanakaribia kustaafu na walimu wengi wanaforce kutafuta ajira Dar wakati Mtwara kuna ajira yenye mshahara mzuri sana. Mwalimu wa Sayansi aliyekuwa anategemewa sana kwenye Sayansi O-level mwaka juzi (2021) alihama baada ya mkataba wake kuisha na hakutaka kuongeza mkataba kwa sababu alipata ajira sehemu nyingine. Mwaka jana (2022) kumekuwa na shida katika ufundishaji wa masomo haya o-level na kufanya mwalimu mmoja wa Advance huyohuyo afundishe na Form four pia. Sasa wewe inaonekana kabisa kila unachokitafuta kinapatikana Abbey kwa 100%, ila unataka ajira Dar tena hata ukipata nina imani mshahara wake hautaridhisha kama wa Abbey na mwaka huu (2023) kuanzia hii January walimu wa Abbey wameongezewa mishahara kwa sababu Shirika la Kijerumani linalomiliki shule hiyo lina pesa sana. Sasa kwa nini usiende huko mkuu?
Uamuzi ni wako kama unataka ajira utaniomba namba ya headmaster, kama hautaki basi endelea kutafuta ajira huko Dar. Mungu akutangulie
Kila la heri[emoji5][emoji5]
Kama ni Dar, mimi sina namba ya headmaster yoyote yule.

Kila la heri![]()
![]()
nisaidie namba ya headmaster nitumie kwenye 0629747190Kama ni Dar, mimi sina namba ya headmaster yoyote yule.

Mkuu nimewapa watu kadhaa namba ya headmaster, wote wameambulia patupu, tena kwa majibu ya ukali ya headmasternisaidie namba ya headmaster nitumie kwenye 0629747190
Mkuu nimewapa watu kadhaa namba ya headmaster, wote wameambulia patupu, tena kwa majibu ya ukali ya headmaste
kwanini kawajibu kwa ukaliMkuu nimewapa watu kadhaa namba ya headmaster, wote wameambulia patupu, tena kwa majibu ya ukali ya headmaster
Anasema hataki walimukwanini kawajibu kwa ukali
Watu hatufanani mi natembea sasa shule kwa shule hapa dar natafuta sehemu ya kufundisha yenye maslahi kuliko pale ninapofundisha , sikati tamaa . Wiki ijayo ya tarehe 16 kuanzia Jumatatu nikichomoka tu pale naenda shule za ukanda wa Mbagala huko karibu na mkoa wa pwani ni kuzunguka tu mpaka nipate hakuna kukataa tamaaAnasema hataki walimu
Yule headmaster ndio alivyo, mara nyingi anapenda kubania hela na walimu wa Sayansi pale hawatoshi. Ni vile tu hataki kuongeza gharama nyingine.
Kuna mzee pale wa Bios anakaribia kustaafu, anafundisha O level na A level na mara nyingi ratiba zake huingiliana, ila soon atastaafu. Lakini bado headmaster amekaza, hataki walimu wapya
Mungu akutangulieWatu hatufanani mi natembea sasa shule kwa shule hapa dar natafuta sehemu ya kufundisha yenye maslahi kuliko pale ninapofundisha , sikati tamaa . Wiki ijayo ya tarehe 16 kuanzia Jumatatu nikichomoka tu pale naenda shule za ukanda wa Mbagala huko karibu na mkoa wa pwani ni kuzunguka tu mpaka nipate hakuna kukataa tamaa
Nenda za Kibamba, mpaka Kibaha hukoWatu hatufanani mi natembea sasa shule kwa shule hapa dar natafuta sehemu ya kufundisha yenye maslahi kuliko pale ninapofundisha , sikati tamaa . Wiki ijayo ya tarehe 16 kuanzia Jumatatu nikichomoka tu pale naenda shule za ukanda wa Mbagala huko karibu na mkoa wa pwani ni kuzunguka tu mpaka nipate hakuna kukataa tamaa