Natafuta kazi ya ualimu

Natafuta kazi ya ualimu

Joined
Feb 15, 2021
Posts
77
Reaction score
88
Hello,

Mimi ni mhitimu wa chuo kikuu UDSM mwaka jana. Sijasomea ualimu lakini nina passion ya kufundisha hasa masomo ya Physics, Chemistry na Biology kwa O level na Chemistry na Biology pekee kwa A level.

Taaluma niliyosomea ni Aquatic science and fisheries technology na kwa sasa siwezi kupata urahisi katika taaluma yangu. Naomba msaada wakuu.
 
Jamaa uwalimu sio chimbo la kupunzikia heshimu taaluma za watu.

Hao wanafunzi utaowafundisha wakipotoka kwa lolote lawama zinaenda kwa 'walimu'sio kwa 'Aquatic scientists'ungekuwa na passion ungesoma Education chuo.

Unajua
1)Pedagogy
2)Classroom Management
 
Anaweza kufundisha hayo masomo bila shida yoyote Tena anawwza akafundisha vizuri zaidi kuliko hao unaowaona wamesomea
Kama mtu Ana strong internal feelings (passion) huyo NI mzuri zaidi kuliko aliesomea lakini haipendi hyo kazi ya ualimu
Walimu wengi wengu hapa Tz wanasoma lakini hawaipendi hyo kazi
 
Hello,

Mimi ni mhitimu wa chuo kikuu UDSM mwaka jana. Sijasomea ualimu lakini nina passion ya kufundisha hasa masomo ya Physics, Chemistry na Biology kwa O level na Chemistry na Biology pekee kwa A level.

Taaluma niliyosomea ni Aquatic science and fisheries technology na kwa sasa siwezi kupata urahisi katika taaluma yangu. Naomba msaada wakuu.
Sasa mbona hujawwka contacts
 
Mkuu sikuhizi sidhani kama kunashule binafsi ambayo inaajiri mtu ambaye siyo mwalimu by professional, maana nasikia huwa kuna ukaguzi na ufuatiliaji kweli.

Nakushauri anzisha tuition center.
 
Ualimu ni taaluma sio kusimama mbele tu kushuka ndio maana serikali haiajiri mtu ambaye hana taaluma ya ualimu,ushauri nenda kaombe intern kwenye vyuo vya uvuvi nyegezi,bagamoyo na kigoma
 
Anaweza kufundisha hayo masomo bila shida yoyote Tena anawwza akafundisha vizuri zaidi kuliko hao unaowaona wamesomea
Kama mtu Ana strong internal feelings (passion) huyo NI mzuri zaidi kuliko aliesomea lakini haipendi hyo kazi ya ualimu
Walimu wengi wengu hapa Tz wanasoma lakini hawaipendi hyo kazi
Akasomeee Ualimu.
 
Unaamini kwamba jamaa ana passion ya kufundisha? Kakosa tu fursa
 
Anaweza kufundisha hayo masomo bila shida yoyote Tena anawwza akafundisha vizuri zaidi kuliko hao unaowaona wamesomea
Kama mtu Ana strong internal feelings (passion) huyo NI mzuri zaidi kuliko aliesomea lakini haipendi hyo kazi ya ualimu
Walimu wengi wengu hapa Tz wanasoma lakini hawaipendi hyo kazi
Mimi nasema STOP na iwe hivyo nitakuwa mbaya kwenye hili until i die.

Friends used to burn dozens of papers out there to get proffesional that is not a street garden na nimependa wizara inafuatilia hili now days.
 
Kwani laxima aajiriwe shuleni
 
Hello,

Mimi ni mhitimu wa chuo kikuu UDSM mwaka jana. Sijasomea ualimu lakini nina passion ya kufundisha hasa masomo ya Physics, Chemistry na Biology kwa O level na Chemistry na Biology pekee kwa A level.

Taaluma niliyosomea ni Aquatic science and fisheries technology na kwa sasa siwezi kupata urahisi katika taaluma yangu. Naomba msaada wakuu.
Duh, unawezafuga samaki
 
Anaweza kufundisha hayo masomo bila shida yoyote Tena anawwza akafundisha vizuri zaidi kuliko hao unaowaona wamesomea
Kama mtu Ana strong internal feelings (passion) huyo NI mzuri zaidi kuliko aliesomea lakini haipendi hyo kazi ya ualimu
Walimu wengi wengu hapa Tz wanasoma lakini hawaipendi hyo kazi

Kuweza kufundisha tu, haiwezi kumfanya awe bora zaidi ya hao waliousomea! Kuwa na passion angali hana hiyo profession ya ualimu haiwezi pia kumfanya kuwa mwalimu bora!
Ualimu ni zaidi ya kushika chaki na kuandika ubaoni! Angekuwa na passion before angeusomea!
Ni kweli wapo vijana wengi tu waliousomea ualimu angali hawakuwa na passion ya kuwa walimu, lakini hilo haliwezi kuwaondolea profession waliyoipata tayari!
Hata wahandisi wapo ambao hawakuwa na ndoto za kuwa wahandishi, vile vile na hata katika nyanja nyingine kama sheria!
Hivi huyu ambaye alisomea aquatic na angali hakuwa na passion na hiyo profession aliyonayo sasa baada ya kuisomea akipata kitengo kinachoendana na alichosomea wadhani kuwa atadeliver inavyopaswa kwa maelezo yako..!?[emoji848]
Btw nimtakie kila la kheri huyu mdau, apate kadiri ya hitaji lake!
 
Kijana ameona aende extra miles na taaluma yake kutokana na hali halisi ya sasa. Kwahiyo akiweza si mbaya, kizuri atoe kile kinachohitajika kwa ufasaha.
 
Back
Top Bottom