E Emmanuel Owino New Member Joined Nov 22, 2020 Posts 1 Reaction score 0 Sep 19, 2022 #1 Habari wana JF, Jamani natafuta kazi yeyote Kiwandani au Hotelini,, Naombeni Connection Nipo tayari, namba zangu ni 0676795851 au 0744795851
Habari wana JF, Jamani natafuta kazi yeyote Kiwandani au Hotelini,, Naombeni Connection Nipo tayari, namba zangu ni 0676795851 au 0744795851
Natafuta Ajira JF-Expert Member Joined Mar 25, 2020 Posts 9,016 Reaction score 24,650 Sep 20, 2022 #2 Ni matumaini yangu wote wazima. Mimi ni kijana wa kiume nimesoma diploma ya procurement and logistic management na bachelor degree ya business management, natafuta ajira nipo tayari kufanya kazi mkoa wowote
Ni matumaini yangu wote wazima. Mimi ni kijana wa kiume nimesoma diploma ya procurement and logistic management na bachelor degree ya business management, natafuta ajira nipo tayari kufanya kazi mkoa wowote