Passion Lady
JF-Expert Member
- Nov 17, 2012
- 8,694
- 4,646
Passion Lady kamruka futi mia.
hilo jina lenyewe ndio kwanza
nalisikia leo hakiyanani!!
hilo jina lenyewe ndio kwanza
nalisikia leo hakiyanani!!
Passion Lady unajitia humjui Shark? Mmmmhhhhh????
​si unajua Bishanga shemeji yangu mnokooooooo!!!yani mkane hivyohivyo mwaya usije ukaumbuka buree!!
​si unajua Bishanga shemeji yangu mnokooooooo!!!
​cc Bishanga!!mwambie aache ukuda huyo
acha tu watoe matamko wamezo khaaa!!
lazima wajichokee,mi ngoja nipite zangu
Tunalisubiri kwa hamu kubwa,Maana Madame B amepitiliza mipaka!
Atachemsha sana,maana mapenzi hayahitaji siasa!Ben Saanane ni mwanasiasa, ataleta siasa siasa hapa, yangu macho
Unanichongea Paloma? Ruttashobolwa ni ndugu yangu, kizuri anakula na mimi nduguye!!
Passion Lady unajitia humjui Shark? Mmmmhhhhh????
yani mkane hivyohivyo mwaya usije ukaumbuka buree!!
Hata mie namshangaa Shark, au nae ndo walewale wa kuwapanga hadi wengine anawasahau majina..