Natafuta kazi za ndani kwa Mwanaume aliyefiwa na Mkewe.

Natafuta kazi za ndani kwa Mwanaume aliyefiwa na Mkewe.

najua umeboreka na huna cha kufanya ukaamua kuanzisha huu uzi kupas time
 
mmmh!kazi za ndani utake wewe halafu mimi niwe na nguvu!kwani nitakuwa nazifanya mwenyewe!!

Jamani.
Kazi nyingine utabidi unisaidie.
Kama kusogeza Makabati, n.k
 
Utaweza kupika bila kuvaa nguo ya ndani?upo tayari kuwa jirani nami kunihudumia ninapokua ninaumwa?upo tayari kupanda cheo-promotion from hgirl to wife?
 
Daah bahati iliyoje! Madame B hebu nipm tuwasiliane! nitakupa laki moja kila mwezi...vigezo na masharti kuzingatiwa!
 
Mimi ni Mdada niliyemaliza form Six, na kwa sasa sina ajira yoyote.
Ila nahitaji kufanya kazi za ndani (U-housegirl) kwa mwanaume ambae amefiwa na mkewe (Mgane) AU Ameachana na mkewe.
Umri mwisho miaka 50 maana wanakuwa na nguvu,after hapo huwa hawana nguvu.

Mimi ni mwaminifu,
Mcha Mungu,
Msafi na Nina Upendo.
Nitamuhudumia kwa Upendo wa Kweli.
Mshahara: Maelewano ila kuanzia 80,000/=
SIHITAJI WAZEE.

NOTE:
Sihitaji kufanya kazi kwa mwanaume ambae hajaoa,yaani bachela,maana huwa ni wasumbufu sana kila ifikapo mwisho wa mwezi.

Alie tayari ani-PM
Kazi umepata kwangu,
But my wife alikufa kwa ngoma!!
 
Utakua unalala kazini au utakua unakuja job na kurudi kwako?nguo za style gani utakua ukivaa kazini?nataka ninunue epron hapa moroco kwa wamachinga za kuvaa wakati unapika.una mbinu gani ya kufanya chakula chako kiwe kitamu?
atakipika akiwa uchi!
 
Utaweza kupika bila kuvaa nguo ya ndani?upo tayari kuwa jirani nami kunihudumia ninapokua ninaumwa?upo tayari kupanda cheo-promotion from hgirl to wife?

Mh, hko Cheo cha uke sitakiweza.
 
Sihitaji Penzi.
Nahitaji Pesa.
Pesa zako za masimango nimezichoka TUKUTUKU.
Heri nifanye kazi ili kujiongezea kipato.

hongera Madame B........., nadhani sasa utapunguza yale matawi yako ya sacos baada ya kupata kazi.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom