Natafuta kazi za ndani kwa Mwanaume aliyefiwa na Mkewe.

Sasa Mkuu Mkeo anatafutaje kazi kwa midume yenye nye..ge zao? si unajua kama haina vipapatio so kazi iliyopo ni UCHAKATAJI tu

Hahaha.
Ubahili wake utamcost.
 
Sasa Mkuu Mkeo anatafutaje kazi kwa midume yenye nye..ge zao? si unajua kama haina vipapatio so kazi iliyopo ni UCHAKATAJI tu

Hapo nabaki hoi kabisa mkuu,maana najua hiyo midume haiwezi kumsalimisha.Na kwa jinsi navyomjua mke wangu anaminyege mikali sana!
 
Hapo ni balaa ni sawa sawa na kusema unaweka sumaku karibu na chuma afu unaweka nadharia ya havitagusana.......:shock:
 
Utakua unalala kazini au utakua unakuja job na kurudi kwako?nguo za style gani utakua ukivaa kazini?nataka ninunue epron hapa moroco kwa wamachinga za kuvaa wakati unapika.una mbinu gani ya kufanya chakula chako kiwe kitamu?
 
Nitakuwa nalala kwa Boss.
Mie hata Sebleni nalala.
Nitashona gauni ya Kijani kwa kazi za jikoni, Bluu kwa kazi za nje.
Mimi ni mpishi mzuri sana.
 
Back
Top Bottom