Natafuta kazi za ndani kwa Mwanaume aliyefiwa na Mkewe.


Kuna kazi ya kuchakatwa unaiweza??
 
Mkuu kwanini unataka kumwajili mkwe wangu bila kunifahamisha?

Samahani mkuu. Ila nimeridhika na maelezo aliyokupatia kuwa anataka kuongeza kipato. Anaonyesha anakujali zaidi na anataka msaidiane. We mruhusu tu, maisha kusaidiana na wala si kila kizuri sharti ule na nduguyo.
 
Wewe unatafuta wanaume wenye nguvu zipi na kwa sababu ipi? Na kwa nini wagane au waliochana tu, kama lengo siyo kugegedwa?

Hapana.
Mabachela huwa ni wasumbufu sana kwenye kulipa.
 
Samahani mkuu. Ila nimeridhika na maelezo aliyokupatia kuwa anataka kuongeza kipato. Anaonyesha anakujali zaidi na anataka msaidiane. We mruhusu tu, maisha kusaidiana na wala si kila kizuri sharti ule na nduguyo.
Nashukuru sana mkuu!huyu mwanamke simuelewi kabisa,mimi napesa nyingi sana,sijui anatafuta nini huko nje!

naombeni ushauri wa kuishi na huyu mwanamke kwa sababu mimi bado nampenda!
 
Kama ulilipa mahari nikusindikize tukadai change. Hamna ndoa hapo. Tra watacalculate uchakavu tunachukua change nakuchuna chap chap ya udalali.

Mpe mpe huyo.
Mpaka nimekuja kujinadi ndo anajitokeza.
Alikuwa wapi?
 
Teh teh teh.
Lazima uipende kazi yako.
Au sio shosti.
Yaani hatojuta kunichagua nije kumfanyia kazi.
Atafurahi

Ya mamii na kwa no ninayoona inachunngulia hapo chini count kwamba kazi unayo tayari tena nahisi masaki.all da best shoste ila usafi utulie maanani hasa wa huko ndani utakapokuwa unafanyia kazi
 
Nashukuru sana mkuu!huyu mwanamke simuelewi kabisa,mimi napesa nyingi sana,sijui anatafuta nini huko nje!

naombeni ushauri wa kuishi na huyu mwanamke kwa sababu mimi bado nampenda!

Mkuu anataka pesa yako iwe mingi zaidi, kufanya kazi si kuachana, ingawa inaonekana una mnyasa nyasa na mijisenti yako.
 
Mkuu anataka pesa yako iwe mingi zaidi, kufanya kazi si kuachana, ingawa inaonekana una mnyasa nyasa na mijisenti yako.
Nataka nimfungulie kampuni kubwa ambayo itakuwa mali yake,lakini bado hataki!

Sijue kwanini huyu mwanamke anapenda sana pesa za nje!
 
Last edited by a moderator:
Mkuu kwa jinsi navyompenda huyu Madame B sihitaji hata hiyo change!kama unataka kunisaidia,naomba unisaidie kumshawishi atulie kwenye ndoa!

Sidanganyiki.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…