Mkuu hiyo haimfai ,huyu ni mke wangu!
Sitaiweza.
Sasa Mkuu Mkeo anatafutaje kazi kwa midume yenye nye..ge zao? si unajua kama haina vipapatio so kazi iliyopo ni UCHAKATAJI tu
Mfano wa nini mpenzi hawa jamaa wanataka kunizunguka!Toa mfano.
Nitaacha ubahili ,acha basi kutafuta kazi kwa midume yenye ukame wa mademu!Hahaha.
Ubahili wake utamcost.
Hapo nabaki hoi kabisa mkuu,maana najua hiyo midume haiwezi kumsalimisha.Na kwa jinsi navyomjua mke wangu anaminyege mikali sana!
Hahaha.
Ubahili wake utamcost.
ngoja basi nikiachana na wife (baada ya mkataba kumalizika) nikutafute!Si mbaya.
Maadam hana mke.
Utakua unalala kazini au utakua unakuja job na kurudi kwako?nguo za style gani utakua ukivaa kazini?nataka ninunue epron hapa moroco kwa wamachinga za kuvaa wakati unapika.una mbinu gani ya kufanya chakula chako kiwe kitamu?