Natafuta kazi za ndani kwa Mwanaume aliyefiwa na Mkewe.


Madame B tafadhali nijibu PM yangu nina uhitaji sana wa house girl kama wewe lol
 
Last edited by a moderator:
Sina taarifa kama umeniacha.
Najua kuwa mie bado niko na wewe.

Wewe sasa utakua wa kuzugia tu pale ambapo Passion Lady hayupo. Yaani kutoka kua solely owner wa mimi mpaka kua mwizi wa mimi, na mkataba/masharti ya wizi wetu yatakua ni haya;

1) Nikiwa na wewe tunaiba then Passion Lady akanipiagia simu basi nikiongea nae kwa mahaba kumzuga usikasirike.
2) Kwakua hakujui kwa sura, siku nikiwa na wewe akatuona wawili nitamwambia wewe ni dada yangu mtoto wa mama Mkubwa nayo itabidi ukubali.
3) Siku akitufumania akasema nichague mmojakati yenu basi nitamchagua yeye na wewe nitakufokea sana na kukusema uniache sikutaki, but after that tutakutana tena na kuendeleza penzi kwa siri kama zamani.
4) Usinipigie simu usiku nikiwa na Passion Lady
5) Siku akichukua simu yangu akaona meseji zako na kuanza kukuuliza sema ume-wrong number.
6) Wewe tutaendelea kuiba tu milele, na hata kama nitamuacha Passion Lady wewe hautopanda chart kua owner, kwani unapendezea zaidi kucheza scene ya mwizi wa penzi kuliko owner.

Kama umekubali sema.

Mashahidi wa mkataba huu ni hawa wafuatao;
1) asakuta same
2) Evelyn Salt
3) Bishanga
4) Sumba-Wanga
5) Chimbuvu
 
Last edited by a moderator:
Hii ni hali ya hatari my wii Madame B
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…