Natafuta kazi za ndani kwa Mwanaume aliyefiwa na Mkewe.


Muache mpenzi wangu Sumba-Wanga.
 
Last edited by a moderator:
Kesho naweza kutoa tamko zito TUKUTUKU

Kuwa mpole kaka, unataka unabii wangu utimie mapema kiasi hiki, tafadhali usinipandishe chati haraka hivyo nikaonekana mtabiri wa kimataifa mie..
 
Last edited by a moderator:
Alaa, kumbe una kauzoefu! Mimi nahitaji sana ila nakaa bush ya bush ambapo hutapapenda hata kidogo.
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…