Mi sijaoa naishi gheto peke yangu vipi unaweza kufanya kazi mazingira ya ghetto? Kulala ntakuacha ulale kitandani mi ntalala kwenye kochi.
 
Wewe ndio unatafuta kazi... Au kuna mtu unamtafutia?
 
Joyce ndio nani?
Joyce Kiria humjui saivi ana kampuni yake ya wadada wa kazi anakupa

Kawagawa wadada kwenye makundi matatu

Mdada Local wanamwitaje sjui hawa mishahara yao 100k

Smart DADA
Hawa ndio wale wanajisimamia na kutumia smartphone mishahara yao hawa inaenda mpk 300k

Halafu kuna PRO MAX DADA

Hawa wanachukuliwa na watu wazito hawa wanajua tumia mashine za kufulia,kupka kwa oven kupka kizungu yani dada flaniii hiviii kama maza house hiv mishahara yao kwa mwezi 500k

Huyu mfungua thread ndo SMART DADA sasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…