Unajuaje unafaulu vizuri, na umedhibitishaje Kuna konnekisheni!!!
Kwa hapa, inatia wasiwasi, maana unaweza kuwa mfanyamajungu Bora badala ya mfanyakazi Bora! Yawezekana waajiri wamekupima katika hili wakaona hufai.
===
Ushauri:
1. Ujikubali kwanza kuwa unaweza kufanya kazi yoyote Halali zaidi ya hiyo uliyosomea. Hapa namaanisha Hata kazi za kujiajili unaziweza na ambazo hukuzisomea mfano kuuza udogo wenye mbolea kwa ajili ya bustani, kuuza Maji, kufundisha twisheni na kadhalika.
2. Kibali kuwa kunawakati mwingine unashindwa, na kushindwa siyo dhambi bali kunatumika kuboresha uwezo wako kwa kuongeza bidii na umakini wakati mwingine wa mashindano.
3. Achana kabisa na mawazo ya kuwa wanaopata nafasi wanapendelewa! Kama kweli hutaki kuachiana na mawazo haya basi jiajiri.
Nimemaliza.