Natafuta kazi

Natafuta kazi

Unajuaje unafaulu vizuri, na umedhibitishaje Kuna konnekisheni!!!

Kwa hapa, inatia wasiwasi, maana unaweza kuwa mfanyamajungu Bora badala ya mfanyakazi Bora! Yawezekana waajiri wamekupima katika hili wakaona hufai.
===
Ushauri:
1. Ujikubali kwanza kuwa unaweza kufanya kazi yoyote Halali zaidi ya hiyo uliyosomea. Hapa namaanisha Hata kazi za kujiajili unaziweza na ambazo hukuzisomea mfano kuuza udogo wenye mbolea kwa ajili ya bustani, kuuza Maji, kufundisha twisheni na kadhalika.
2. Kibali kuwa kunawakati mwingine unashindwa, na kushindwa siyo dhambi bali kunatumika kuboresha uwezo wako kwa kuongeza bidii na umakini wakati mwingine wa mashindano.
3. Achana kabisa na mawazo ya kuwa wanaopata nafasi wanapendelewa! Kama kweli hutaki kuachiana na mawazo haya basi jiajiri.

Nimemaliza.
Huu ushauri hata mimi nitaupeleka kwa mdogo wa mke wangu anaeniomba kila siku pesa ya chipsi
 
Ndugu zangu hadi kufikia hatua hii ninapitia kipindi kigumu sana
Kwanza kabisa mimi ni graduate wa bachelor degree in accountancy nina mwaka tangu nimalize nipo mtaani tu na umri wangu ni mkubwa zaidi ya miaka 30 ,kila nikiapply kazi mbalimbali zinazoendana na career yangu unakuta naenda kwenye interview ila unakuta nafaulu vizuri ila kazi nakosa kwa sababu watu wanapeana kwa connection ata kazi za sensa na postikodi nikiapply lakini sikupata kwa sababu zinatolewa kwa connection na mimi sina iyo connection,

Kwa mtu yoyote ambaye anaweza kunisaidia kupata kazi popote inayoendana na course niiyosoma kama vile accountant,sales&marketing et iwe private ata gvt institution hasiste kunijuza
Karibuni KALYNDA E-COMMERCE tufanye kazi mtandaoni...Kwa maelezo zaidi fika ofcn kwetu PSSSF Tower Karibu kabisa na TRA Mapato house gorofa ya 30...Ni mtaji wako tu kuanzia 20,000 mpaka 200,000 simu yako ya Smartphone na MB zako ndo vitendea kazi vyako popote ulipo Tanzania...Kalynda itakusaidia kupata Commission ya kila siku kulingana na mtaji wako ulioweka..
IMG-20220804-WA0043.jpg
IMG-20220903-WA0111.jpg
 
Back
Top Bottom