Isanga family
JF-Expert Member
- Feb 25, 2015
- 17,080
- 33,076
Daah hii Comment inaonyesha umasikini wako wa kipato...Nenda mpanda katavi Kuna mapori makubwa kafyeke ulime ufuta na alizeti. Sasa wewe umekalisha makalio tu hapo kwa shemeji hutaki kutoka mjini uende mbwinde kutafuta fursa. Niushauri tu sikuzodogoi ila fursa zipo kijijini
Kulima ni umasikiniDaah hii Comment inaonyesha umasikini wako wa kipato...
Huu ushauri hata mimi nitaupeleka kwa mdogo wa mke wangu anaeniomba kila siku pesa ya chipsiUnajuaje unafaulu vizuri, na umedhibitishaje Kuna konnekisheni!!!
Kwa hapa, inatia wasiwasi, maana unaweza kuwa mfanyamajungu Bora badala ya mfanyakazi Bora! Yawezekana waajiri wamekupima katika hili wakaona hufai.
===
Ushauri:
1. Ujikubali kwanza kuwa unaweza kufanya kazi yoyote Halali zaidi ya hiyo uliyosomea. Hapa namaanisha Hata kazi za kujiajili unaziweza na ambazo hukuzisomea mfano kuuza udogo wenye mbolea kwa ajili ya bustani, kuuza Maji, kufundisha twisheni na kadhalika.
2. Kibali kuwa kunawakati mwingine unashindwa, na kushindwa siyo dhambi bali kunatumika kuboresha uwezo wako kwa kuongeza bidii na umakini wakati mwingine wa mashindano.
3. Achana kabisa na mawazo ya kuwa wanaopata nafasi wanapendelewa! Kama kweli hutaki kuachiana na mawazo haya basi jiajiri.
Nimemaliza.
Hapana.kulima kunakuitaji kuanzia sokon af shamban ila ukijilimia tu ndounwez kutana na changamto ya masoko..Kulima ni umasikini
Ataanzaje kulima mtu anakwambia hana kitu mtu akiongea hivyo maana yake hata mahitaji ya msingi hawezi kuyafanya umeongea kimasikini kwa sababu mkipata kidogo mnasahau wanaopata tabu ndio maana yangu...Kulima ni umasikini
Karibuni KALYNDA E-COMMERCE tufanye kazi mtandaoni...Kwa maelezo zaidi fika ofcn kwetu PSSSF Tower Karibu kabisa na TRA Mapato house gorofa ya 30...Ni mtaji wako tu kuanzia 20,000 mpaka 200,000 simu yako ya Smartphone na MB zako ndo vitendea kazi vyako popote ulipo Tanzania...Kalynda itakusaidia kupata Commission ya kila siku kulingana na mtaji wako ulioweka..Ndugu zangu hadi kufikia hatua hii ninapitia kipindi kigumu sana
Kwanza kabisa mimi ni graduate wa bachelor degree in accountancy nina mwaka tangu nimalize nipo mtaani tu na umri wangu ni mkubwa zaidi ya miaka 30 ,kila nikiapply kazi mbalimbali zinazoendana na career yangu unakuta naenda kwenye interview ila unakuta nafaulu vizuri ila kazi nakosa kwa sababu watu wanapeana kwa connection ata kazi za sensa na postikodi nikiapply lakini sikupata kwa sababu zinatolewa kwa connection na mimi sina iyo connection,
Kwa mtu yoyote ambaye anaweza kunisaidia kupata kazi popote inayoendana na course niiyosoma kama vile accountant,sales&marketing et iwe private ata gvt institution hasiste kunijuza