Mwanamke wa mithali 31
JF-Expert Member
- Apr 10, 2024
- 1,159
- 2,577
~
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Fatilia trainee Zanzibar utaipata wa kutokea... Gugo mahoteli yanayopatikana andika namba zao za mawasiliano then wapigie ili kujua utaratibu gani utumie ili upate training ya kozi ya miezi 3Habari wapendwa,heri ya sikukuu ya pasaka na Eid
Wakubwa shikamoni
Dada yenu,mdogo wenu NATAFUTA KAZI,
Elimu yangu kidato cha 4 tu pia ninao ujuzi wa uhudumu wa afya ngazi ya cheti, Ninaweza kukaa pharmacy/Duka la dawa/Ninaweza kuhudumu dispensary/kituo cha afya,
Ninaweza kufanya kazi as mtoa huduma ya kwanza (usalama mahali pa kazi )
Ninaishi Dar es salaam
Umri wangu ni miaka 25/26
Ninahitaji kazi yeyote ile iwe, Dukan,hotel,kufanya usafi, grocery,viwandani,kwenye mashirika,kampuni,kituo cha mafuta, Ninahitaji ambayo haivunji Sheri za Mungu na haivunji Sheria za nchi
NINAOMBA UKIUPATA UJUMBE HUU TAFADHALI USIPITE KIMYA KIMYA,
BASI HATA UNIOMBEE KWA MUNGU,
MAWASILIANO YANGU 0754088347
AHSANTENI SANA
SawaFatilia trainee Zanzibar utaipata wa kutokea... Gugo mahoteli yanayopatikana andika namba zao za mawasiliano then wapigie ili kujua utaratibu gani utumie ili upate training ya kozi ya miezi 3
1. Waitress
2. Housekeeping
3. Chef
Utanishkuru
Darlin 😅🤣NATAFUTA KAZI,
Elimu yangu kidato cha 4 tu pia ninao ujuzi wa uhudumu wa afya ngazi ya cheti,Duka la dawa/Ninaweza kuhudumu dispensary/kituo cha afya,
Ninaweza kufanya kazi as mtoa huduma ya kwanza
Ninaishi Dar es salaam
Umri wangu ni miaka 25/26
Ninahitaji kazi yeyote ile iwe, Dukan,hotel,kufanya usafi, grocery,viwandani,kwenye mashirika,kampuni,kituo cha mafuta, Ninahitaji ambayo haivunji Sheri za Mungu na haivunji Sheria za nchi
Hongera kwa kuacha kazi zako na kuanza kunifatilia
DepalHongera kwa kuacha kazi zako na kuanza kunifatilia
Umemaliza au bado ?
Kuna kazi ya kutengeneza sambusa.unaweza utengeneza sambusa ngapi kwa siku?NATAFUTA KAZI,