Natafuta kazi

Natafuta kazi

Habari wapendwa,heri ya sikukuu ya pasaka na Eid
Wakubwa shikamoni

Dada yenu,mdogo wenu NATAFUTA KAZI,

Elimu yangu kidato cha 4 tu pia ninao ujuzi wa uhudumu wa afya ngazi ya cheti, Ninaweza kukaa pharmacy/Duka la dawa/Ninaweza kuhudumu dispensary/kituo cha afya,
Ninaweza kufanya kazi as mtoa huduma ya kwanza (usalama mahali pa kazi )

Ninaishi Dar es salaam

Umri wangu ni miaka 25/26

Ninahitaji kazi yeyote ile iwe, Dukan,hotel,kufanya usafi, grocery,viwandani,kwenye mashirika,kampuni,kituo cha mafuta, Ninahitaji ambayo haivunji Sheri za Mungu na haivunji Sheria za nchi

NINAOMBA UKIUPATA UJUMBE HUU TAFADHALI USIPITE KIMYA KIMYA,

BASI HATA UNIOMBEE KWA MUNGU,

MAWASILIANO YANGU 0754088347

AHSANTENI SANA
Fatilia trainee Zanzibar utaipata wa kutokea... Gugo mahoteli yanayopatikana andika namba zao za mawasiliano then wapigie ili kujua utaratibu gani utumie ili upate training ya kozi ya miezi 3
1. Waitress
2. Housekeeping
3. Chef

Utanishkuru
 
NATAFUTA KAZI,

Elimu yangu kidato cha 4 tu pia ninao ujuzi wa uhudumu wa afya ngazi ya cheti,Duka la dawa/Ninaweza kuhudumu dispensary/kituo cha afya,
Ninaweza kufanya kazi as mtoa huduma ya kwanza

Ninaishi Dar es salaam

Umri wangu ni miaka 25/26

Ninahitaji kazi yeyote ile iwe, Dukan,hotel,kufanya usafi, grocery,viwandani,kwenye mashirika,kampuni,kituo cha mafuta, Ninahitaji ambayo haivunji Sheri za Mungu na haivunji Sheria za nchi
Darlin 😅🤣
 
Kuna kazi ya kutengeneza sambusa.unaweza utengeneza sambusa ngapi kwa siku?
 
Back
Top Bottom