Being Pablo
Member
- Sep 18, 2024
- 21
- 32
Asante broPole mkuu ungekuwa kigamboni mda huu ningekupa fursa
Utapata kazi wiki hii
Title inajieleza kua natafuta kazi siyo ajiraUnatafuta KAZI au Ajira?
KAZI zipo, ila AJIRA ndio chache na nadra kupatikana!
Sasa KAZI zipo wewe unazitafuta vp?Title inajieleza kua natafuta kazi siyo ajira
Nina ujuzi wa computer,ufundi simu,ufundi selemala kidogo, na kazi za kawaida za kutumia nguvuUna ujuzi gani?
Zipo kwa upande wako ila mi sioni ndo maana natafutaSasa KAZI zipo wewe unazitafuta vp?
Nimeona umesema una ujuzi wa computer,seremala nk nkZipo kwa upande wako ila mi sioni ndo maana natafuta
Okay asanteUtapata Ila katika CV yako hapo jaribu kuiweka vizuri na contact ili wahitaji au employees waweze kukifikia kiurahisi .
Asante kwa ushauriNimeona umesema una ujuzi wa computer,seremala nk nk
Connect na watu wanaofanya KAZI hizo ukianzia maeneo ya karibu na unapoishi ambapo huhitaji nauli, utapata pa kuanzia na hapo ndipo utapanda pole pole.
Muhimu tengeneza network,
Ni vyema pia sababu imekuwa muwazi, humu pia wapo wataokusaidia utaje Mahali ulipo tu.
Ikitokea umepata kazi, ungependa malipo yako yawe kiasi ganiNina ujuzi wa computer,ufundi simu,ufundi selemala kidogo, na kazi za kawaida za kutumia nguvu
Habarini wana jamvi popote mlipo,I hope mko sawa, mimi ni kijana wa umri wa miaka 24 naombeni kwa yeyote anayeweza nisaidia nipate kazi au mwenye connection ya mchongo wowote halali jamani anisaidie maana napitia wakati mgumu sana kwa sasa mimi niko Dodoma elimu yangu niliishia chuo kikuu mwaka wa kwanza
Mi kwa sasa malipo sitazingatia sana ila nitazingatia zaid kazi, kiukweli hatuwezi shindwana kwenye malipoIkitokea umepata kazi, ungependa malipo yako yawe kiasi gani