Being Pablo
Member
- Sep 18, 2024
- 21
- 32
Habarini wana jamvi popote mlipo,I hope mko sawa, mimi ni kijana wa umri wa miaka 24 naombeni kwa yeyote anayeweza nisaidia nipate kazi au mwenye connection ya mchongo wowote halali jamani anisaidie maana napitia wakati mgumu sana kwa sasa mimi niko Dodoma elimu yangu niliishia chuo kikuu mwaka wa kwanza