Natafuta Kazi

Natafuta Kazi

Being Pablo

Member
Joined
Sep 18, 2024
Posts
21
Reaction score
32
Habarini wana jamvi popote mlipo,I hope mko sawa, mimi ni kijana wa umri wa miaka 24 naombeni kwa yeyote anayeweza nisaidia nipate kazi au mwenye connection ya mchongo wowote halali jamani anisaidie maana napitia wakati mgumu sana kwa sasa mimi niko Dodoma elimu yangu niliishia chuo kikuu mwaka wa kwanza
 
Zipo kwa upande wako ila mi sioni ndo maana natafuta
Nimeona umesema una ujuzi wa computer,seremala nk nk

Connect na watu wanaofanya KAZI hizo ukianzia maeneo ya karibu na unapoishi ambapo huhitaji nauli, utapata pa kuanzia na hapo ndipo utapanda pole pole.

Muhimu tengeneza network,

Ni vyema pia sababu imekuwa muwazi, humu pia wapo wataokusaidia utaje Mahali ulipo tu.
 
Utapata Ila katika CV yako hapo jaribu kuiweka vizuri na contact ili wahitaji au employees waweze kukifikia kiurahisi .
 
Nimeona umesema una ujuzi wa computer,seremala nk nk

Connect na watu wanaofanya KAZI hizo ukianzia maeneo ya karibu na unapoishi ambapo huhitaji nauli, utapata pa kuanzia na hapo ndipo utapanda pole pole.

Muhimu tengeneza network,

Ni vyema pia sababu imekuwa muwazi, humu pia wapo wataokusaidia utaje Mahali ulipo tu.
Asante kwa ushauri
 
Habarini wana jamvi popote mlipo,I hope mko sawa, mimi ni kijana wa umri wa miaka 24 naombeni kwa yeyote anayeweza nisaidia nipate kazi au mwenye connection ya mchongo wowote halali jamani anisaidie maana napitia wakati mgumu sana kwa sasa mimi niko Dodoma elimu yangu niliishia chuo kikuu mwaka wa kwanza

Nichek kwa whatsapp
0745-880750
 
Back
Top Bottom