Natafuta kiua gugu

Natafuta kiua gugu

weedall na weed master zinatofauti au ndio hizo hizo
Karibu zote ingredient ni Glyphosate, haya majina wachina wanatuchanganya tu... tafuta kiua magugu chochote chenye hicho kiatilifu.
 
Nilipiga dawa ya kichina "weedall", mpaka nikayaonea huruma majani yalivyo kaushwa hii kitu hatari sana

....hayo ni majina ya kibishara tu....weedal,round up,multi glyphosate........zote hizo ni GLYPHOSATE
 
Back
Top Bottom