Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bei hiyo tafuta kiwanja Vikindu, Mkulanga, Mvuti na Homboza.Habar wadau , natafuta kiwanja maeneo ya geza ulole, kibada n mwongozo ofa yangu ni milioni 2. Kam Kuna mtu ana kiwanja maeneo hayo naomba tuwasiliane
Haiwezekani, labda hujui square meter ni nini.Kibada jipange ndugu - Sqm 1 = 60,000 hadi 80,000.
Hii bei hii apata nyumba baadhi ya maeneo kigamboni.Njoo na 25 milioni upate kiwanja Gezaulole ukubwa 700SQM
Hata kule bihawana apati kiwanja kwa pesa hiyoKwa hiyo pesa tafuta kiwanja Dodoma utapata
Sio GezauloleHii bei hii apata nyumba baadhi ya maeneo kigamboni.
Uchukue tahadhari kuna matapeli sana huko.Habar wadau , natafuta kiwanja maeneo ya geza ulole, kibada n mwongozo ofa yangu ni milioni 2. Kam Kuna mtu ana kiwanja maeneo hayo naomba tuwasiliane
Yaani wabongo hatujawahi kuwa siriazi, hiyo pesa unanunua kiwanja gani huko?Bei hiyo tafuta kiwanja Vikindu, Mkulanga, Mvuti na Homboza.
Ulifanikiwa?Uchukue tahadhari kuna matapeli sana huko.
Walinisumbua sana
Ushauri mzuri, maana hata Kibaha hawezi kupata. Angalau aende Msata.Bei hiyo tafuta kiwanja Vikindu, Mkulanga, Mvuti na Homboza.
Kwa iyo hela yake lazima atapeliwe tu, maana tayari anaonekana haujui mji na thamani ya maeneo.Uchukue tahadhari kuna matapeli sana huko.
Walinisumbua sana
Mkuu hivi ili nisitapeliwe kwenye ununuzi wa kiwanja nichukue hatua zipi?Uchukue tahadhari kuna matapeli sana huko.
Walinisumbua sana
Search/ hakiki serikali ya mtaa na majirani kama wapo na mjumbe kama yupo.Mkuu hivi ili nisitapeliwe kwenye ununuzi wa kiwanja nichukue hatua zipi?