Natafuta kiwanja maeneo ya Geza Ulole, Kibada na Mwongozo Kigamboni

Natafuta kiwanja maeneo ya Geza Ulole, Kibada na Mwongozo Kigamboni

Kama kipato kidogo sio lazima kigamboni mana kuna pori kubwa tu na wenye hawqna mpango nalo. Mm nimenunua mwasonga kuna muarabu mmoja na jamaa mmoja wizara gan sijui wana eneo kubwa sana mpka najuta.

Unapajua kazole? Mipeko?
 
Serikali ya kishamba sana yaani mtu anamilii eneo kubwa halafu halijengi ila inamuangalia tu
 
Picha mkuu
IMG-20240829-WA0016.jpg
Siyo yangu nimejitolea tu kuonesha sample.
 
Wakuu kuna sehemu kigamboni inaitwa soko maziwa kuna mtu anakujuwa?Je kiwanja huko kinafika kiasi gani kama 20*20?Naomba usaidizi huo.
 
Ha ha ha ha

Kuna sehemu watu wanajenga 8 × 12 - yaani shimo la majitaka kinakuwa kwa chini ya sebure.

Yaani upo ugenini unapiga pilau sebureni afu kwa chini kuna mzigo wa kutosha.
Hiko Kiwanja Sasa kinakaa nyumba ukubwa Gani aisee
 
Back
Top Bottom