Juice world
JF-Expert Member
- Jun 7, 2022
- 1,982
- 2,706
Hiyo hela kula tu ujaze tumbo Ili upate kuhudhuria chooni vizuri Kiwanja Gani Cha m2 Sasa hivi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mm nilinunua mwasonga mwaka jana 1.8m ila kwa sasa vimepaa ni 3mHabar wadau , natafuta kiwanja maeneo ya geza ulole, kibada n mwongozo ofa yangu ni milioni 2. Kam Kuna mtu ana kiwanja maeneo hayo naomba tuwasiliane
Labda na Vianzi TuangomaBei hiyo tafuta kiwanja Vikindu, Mkulanga, Mvuti na Homboza.
Mkuu viwanja Sasa hivi vimepanda sana yaani hata miguu 10 Kwa 10 Bei hiyo sidhani kama anapata sehemu yenye makazi ya watuNjoo mwasonga bei hiyo unapata. Kutoka kibada kwenda mwasonga ni 1200 kwa daladala au tafuta kisarawe 2 japo sina iman kama utapata kwa bei hiyo
Hayo mazingira ninayomwambia mm anapata. Lakin kule kuna watu wanamiliki maeneo makubwa sana so maendeleo yNachelewa kwelikwliMkuu viwanja Sasa hivi vimepanda sana yaani hata miguu 10 Kwa 10 Bei hiyo sidhani kama anapata sehemu yenye makazi ya watu
Sasa maeneo kama hayo ni msala aisee hata kujenga unaona kama usubiri kumbe ndio siku zinaendana huko ukiwa na m3 unapata ukubwa Gani mkuuHayo mazingira ninayomwambia mm anapata. Lakin kule kuna watu wanamiliki maeneo makubwa sana so maendeleo yNachelewa kwelikwli
Kama unataka kujenga miaka ya hi karibuni (4 years) kule hapakufai mana mm nilitakakujenga ila kila nikitafakar naona ovyo. Nataka nijichanganye na mtaa ninunue kweingine kule nipaacheSasa maeneo kama hayo ni msala aisee hata kujenga unaona kama usubiri kumbe ndio siku zinaendana huko ukiwa na m3 unapata ukubwa Gani mkuu
Kwani ni pori sanaKama unataka kujenga miaka ya hi karibuni (4 years) kule hapakufai mana mm nilitakakujenga ila kila nikitafakar naona ovyo. Nataka nijichanganye na mtaa ninunue kweingine kule nipaache
Kule sqm ni kati ya 6500 so hapo utapiga mwenyew. Kutoka kule kuja feri unapanda gari 2 moja 1200 na moja 600 nadhan wakiweka lami itazaliwa gari moja tu inaweza kuwa 1600 nauli so ukiongeza 200 ya kivuko umetumia 1800 uko city centerSasa maeneo kama hayo ni msala aisee hata kujenga unaona kama usubiri kumbe ndio siku zinaendana huko ukiwa na m3 unapata ukubwa Gani mkuu
Picha mkuuNYUMBA INAUZWA 22 M.L 💰
LOC : KIGAMBONI FANCTY
ENEO : SQM, 450, LESENI YA S MTAA
PHONE : 🤳 0628133348 Whatsapp
"""""""""""""""""""""""""""""""""""""""""""""""""""""""""""""""
ROOM 4, 1 SELF CONTAINED
SITTING ROOM DINNING KITCHEN
PUBLIC TOILET 🚽 JIKO UMEME MAJI N K ...
MWENYEWE ANA SHIDA BEI INA SHUKA NJOO UKAGUE MALI.
NB UKII PENDA NYUMBA Nichek ☎️ 0628133348.
Copy and paste.
Si pori, ila kumedoro.. mwasonga imechangamka sana sana yani kuna jamaa humu humu alikwa anauza maeneo yake huko karibu na sheli koha hivi bei hiyohiyoKwani ni pori sana
We mama wewe! Ajenge chumba kimoja na choo hata nguo kuanika kwa jiraniNjoo kipo gezaulole, 5×5 , 2m
Hahaha hivi 5x5 inaweza kutoa hata chumba kimoja na choo🤣🤣🤣🤣We mama wewe! Ajenge chumba kimoja na choo hata nguo kuanika kwa jirani
Hata Nala hakuna kiwanja Cha hiyo Bei labda apatiwe koridoKwa hiyo pesa tafuta kiwanja Dodoma utapata
Hahaha duuhHata Nala hakuna kiwanja Cha hiyo Bei labda apatiwe korido
Inatoa chumba mana 3.4 au 4 chumba alafu choo 1.5 m so shimo la choo linakaa chini ya chumba chakeHahaha hivi 5x5 inaweza kutoa hata chumba kimoja na choo🤣🤣🤣🤣