Natafuta kiwanja maeneo ya Geza Ulole, Kibada na Mwongozo Kigamboni

Hiyo hela kula tu ujaze tumbo Ili upate kuhudhuria chooni vizuri Kiwanja Gani Cha m2 Sasa hivi
 
Njoo mwasonga bei hiyo unapata. Kutoka kibada kwenda mwasonga ni 1200 kwa daladala au tafuta kisarawe 2 japo sina iman kama utapata kwa bei hiyo
 
Mkuu viwanja Sasa hivi vimepanda sana yaani hata miguu 10 Kwa 10 Bei hiyo sidhani kama anapata sehemu yenye makazi ya watu
 
Hayo mazingira ninayomwambia mm anapata. Lakin kule kuna watu wanamiliki maeneo makubwa sana so maendeleo yNachelewa kwelikwli
 
Sasa maeneo kama hayo ni msala aisee hata kujenga unaona kama usubiri kumbe ndio siku zinaendana huko ukiwa na m3 unapata ukubwa Gani mkuu
 
Kama unataka kujenga miaka ya hi karibuni (4 years) kule hapakufai mana mm nilitakakujenga ila kila nikitafakar naona ovyo. Nataka nijichanganye na mtaa ninunue kweingine kule nipaache
 
Sasa maeneo kama hayo ni msala aisee hata kujenga unaona kama usubiri kumbe ndio siku zinaendana huko ukiwa na m3 unapata ukubwa Gani mkuu
Kule sqm ni kati ya 6500 so hapo utapiga mwenyew. Kutoka kule kuja feri unapanda gari 2 moja 1200 na moja 600 nadhan wakiweka lami itazaliwa gari moja tu inaweza kuwa 1600 nauli so ukiongeza 200 ya kivuko umetumia 1800 uko city center
 
Picha mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…