Natafuta kiwanja maeneo ya Geza Ulole, Kibada na Mwongozo Kigamboni

Soko maziwa ni katikati ya tungi na kisota. Tungi ni uswazi na kosota ni uzunguni. Huwezi kupata kiwanja sokomaziwa labda nyumba uibomoe then ujenge unayotaka. Soko maziwa mpaka feri ni chini ya km 8
Wakuu kuna sehemu kigamboni inaitwa soko maziwa kuna mtu anakujuwa?Je kiwanja huko kinafika kiasi gani kama 20*20?Naomba usaidizi h
 
Ebwana mkuu nashkuru kwa usaidizi.Dah kumbe kama ushuani tu,kwa kiwango hicho naona kumbe bei kubwa sana.
Wahi Kisalawe II ndani ndani wakau bado watu wamelala unaweza kupata 20 × 20 kwa 10m

Ila lami ikishapita mwakani sahau hiyo bei.
 
Kuwa makini sana..Kigamboni sehem kubwa imepimwa na kuna maeneo makubwa ya vigogo yanamgogoro...wenyeviti huyauza haya maeneo ukienda kupima ndio unaona mchoro....
Sogea cheka gomvu uko utakatiwa na mtu kwa bei hiyo
 
Msongola vp!?

Au unaogopa kununua Msongo wa mawazo... Na kujenga Trasfoma yenye Msongo wa KV 333,000,000,000
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…