Msitari wa pambizo
JF-Expert Member
- Sep 25, 2014
- 3,098
- 5,451
Mkuu mi nakaa huku hamna kiwanja cha bei hiyo, viwanja huku vinaanzia 8mNina Offer ya 3m niambie nitapata kiwanja cha ukubwa gani maeneo hayo.
Kwa waiopajua maeneo hayo yako mbezi maeneo ya Goba.
Nawasilisha
Nenda Chanika au Mvuti utapata kiwanja Cha budget yakoNina Offer ya 3m niambie nitapata kiwanja cha ukubwa gani maeneo hayo.
Kwa waiopajua maeneo hayo yako mbezi maeneo ya Goba.
Nawasilisha
Vya ukubwa gani hivyo?Mkuu mi nakaa huku hamna kiwanja cha bei hiyo, viwanja huku vinaanzia 8m
Nzasa ipo maeneo gani nikutafute.Kuna kiwanja Nzasa 3M
Hivyo ni 20x20m mkuu huju mjini saiziVya ukubwa gani hivyo?
Kanunue kwenye mto mkuuNina Offer ya 3m niambie nitapata kiwanja cha ukubwa gani maeneo hayo.
Kwa waiopajua maeneo hayo yako mbezi maeneo ya Goba.
Nawasilisha
Namie natafuta wakuu, nina 5m cash.
Maeneo: upande wa kuanzia mwenge kuelekea Tegeta/Goba/Salasala mpaka Bunju
Je nikinunua nikajengea nguzo pembe zote. Namwaga na kokoto. Hapo jeAwe makini sana na viwanja vya bunju..mnaweza kujikuta zaidi ya watano wote mnamiliki kiwanja kimoja.
#MaendeleoHayanaChama
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama bado ujapata mkuu njoo dm kipo maeneo ya bokoNamie natafuta wakuu, nina 5m cash.
Maeneo: upande wa kuanzia mwenge kuelekea Tegeta/Goba/Salasala mpaka Bunju
0714309012Namie natafuta wakuu, nina 5m cash.
Maeneo: upande wa kuanzia mwenge kuelekea Tegeta/Goba/Salasala mpaka Bunju
Goba kipoKama bado ujapata mkuu njoo dm kipo maeneo ya boko