Natafuta kiwanja maeneo ya Tegeta A mpaka Goba mpakani

Natafuta kiwanja maeneo ya Tegeta A mpaka Goba mpakani

Msitari wa pambizo

JF-Expert Member
Joined
Sep 25, 2014
Posts
3,098
Reaction score
5,451
Nina Offer ya 3m niambie nitapata kiwanja cha ukubwa gani maeneo hayo.

Kwa waiopajua maeneo hayo yako mbezi maeneo ya Goba.

Nawasilisha
 
Ungekua unaishi eneo hilo yaani wakazi wenzako ndiyo wangekupa bei.
 
Back
Top Bottom