Natafuta kiwanja shamba budget yangu milioni 3 na nusu

Natafuta kiwanja shamba budget yangu milioni 3 na nusu

Step one

Member
Joined
Sep 25, 2020
Posts
83
Reaction score
123
Kichwa cha habari hapo juu chahusika.

Nina 3.5 m cash kwa ajili ya Kiwanja kipatikane maeneo jirani na dsm km vile vikindu nk.

Njoo na bei na sifa za Kiwanja chako.

Mi ninataka kikubwa kiasi chake.
 
Kwa morogoro road napenda maeneo kuanzia Mbezi, kwa Bagamoyo road Mmh sidhani,
 
Kichwa cha habari hapo juu chahusika.

Nina 3.5 m cash kwa ajili ya Kiwanja kipatikane maeneo jirani na dsm km vile vikindu nk.

Njoo na bei na sifa za Kiwanja chako.

Mi ninataka kikubwa kiasi chake.

Kaka kiwAnja kipo kigamboni mita 35*35 mil 5 na laki 5 ila pia kipo cha mili 4 kigamboni mwembe kdogo karibia na chuo cha udaktari
 
Kichwa cha habari hapo juu chahusika.

Nina 3.5 m cash kwa ajili ya Kiwanja kipatikane maeneo jirani na dsm km vile vikindu nk.

Njoo na bei na sifa za Kiwanja chako.

Mi ninataka kikubwa kiasi chake.

Njoo kigamboni karibia na mwembe mdogo kutoka ni simple sana kwenda kariakoo au kwenda ferry/kivukoni/posta
 
Back
Top Bottom