Natafuta kiwanja shamba budget yangu milioni 3 na nusu

Natafuta kiwanja shamba budget yangu milioni 3 na nusu

IMG_20150421_110208.jpg
 
Njoo nikuuzie changu mwenyewe hakina udalali
Bei yake ni milion tatu, ukubwa ni mita 20×20 , eneo zuri viwanja vimekatwa kwa mpangilio Kiluvya makurunge

Sent from my SM-J610F using JamiiForums mobile app
 
Kichwa cha habari hapo juu chahusika.

Nina 3.5 m cash kwa ajili ya Kiwanja kipatikane maeneo jirani na dsm km vile vikindu nk.

Njoo na bei na sifa za Kiwanja chako.

Mi ninataka kikubwa kiasi chake.

Kuna 30 by 20 bunju mabwepande kama waitaji pamepangwa vizur
 
Back
Top Bottom