Natafuta kiwanja shamba budget yangu milioni 3 na nusu

Natafuta kiwanja shamba budget yangu milioni 3 na nusu

Kama unaelekea cheka kutokea ferr then unashukia ferr alaf unaingia ndan km unaelekea chuo cha udaktar viwanja viko vingi sana ndugu yangu
Kama unaelekea cheka kutokea ferr then unashukia ferr
Sijaelewa hapa mkuu
 
NJOO CHANIKA UPATE KIWANJA CHENYE UKUBWA WA MITA 15*28 KWA MILIONI 3
NICHEKI 0765779187 AU WHATSAP 0718239997
IMG_20210305_130102_368.jpg
 
Kichwa cha habari hapo juu chahusika.

Nina 3.5 m cash kwa ajili ya Kiwanja kipatikane maeneo jirani na dsm km vile vikindu nk.

Njoo na bei na sifa za Kiwanja chako.

Mi ninataka kikubwa kiasi chake.
Mapinga
 
Kichwa cha habari hapo juu chahusika.

Nina 3.5 m cash kwa ajili ya Kiwanja kipatikane maeneo jirani na dsm km vile vikindu nk.

Njoo na bei na sifa za Kiwanja chako.

Mi ninataka kikubwa kiasi chake.
Njoo Kiluvya , eneo linaitwa makurunge, ukubwa wa kiwanja ni mita 20×20 , bei yangu mil 3
Pikipiki 2000 hadi sites

Sent from my SM-J610F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom