Jemima Mrembo
JF-Expert Member
- Jul 19, 2021
- 2,864
- 8,328
Nimechanganyikiwa kichizi, bwana wangu mzungu anataka niondoe mkitambi wangu ndani ya miezi miwili ili tukafunge ndoa kwao Sydney.
Naombeni jamani dawa ya kuondoa michemsho, mapupu, kyepe, miugali, na mazaga yaliyogandana tumboni.
Mtoto wa ki Ara Chuga nsipitwe na bahati.
Naombeni jamani dawa ya kuondoa michemsho, mapupu, kyepe, miugali, na mazaga yaliyogandana tumboni.
Mtoto wa ki Ara Chuga nsipitwe na bahati.