Natafuta kwa udi na uvumba dawa ya kuondoa vyakula tumboni ili kitambi kiishe haraka

Jemima Mrembo

JF-Expert Member
Joined
Jul 19, 2021
Posts
2,864
Reaction score
8,328
Nimechanganyikiwa kichizi, bwana wangu mzungu anataka niondoe mkitambi wangu ndani ya miezi miwili ili tukafunge ndoa kwao Sydney.

Naombeni jamani dawa ya kuondoa michemsho, mapupu, kyepe, miugali, na mazaga yaliyogandana tumboni.

Mtoto wa ki Ara Chuga nsipitwe na bahati.
 
Kila siku zinguka uwanja wa mpira Mara tano na kuruka Kama mjeda mikono kifuani kwa walau nusu saa
 
Wakati unabugia hayo mazagazaga na mbege hukujua mitihani yake?.
 
Utavumilia kuharisha siku 2?
Baada ya hapo utanishukuru
 
Mazoezi
Au fika soko kuu Arusha kuna wazee wa chuga wanauza dawa unapunguza hilo nyedi vyedi vyedi
 
Kula kila kitu ondoa kabisa vitu vyenye wanga. ONDOA soda na bia, kunywa maji.na mazoezi kidogo. Lkn sio kila mzungu anapenda vyembamba.( ukimpenda mtu mpende alivyo hivyo hovyo lol
 
Shida ni kuwa ulishaondoa akili kichwani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…