Natafuta Law Firm nifanye kazi kwa kujitolea

Natafuta Law Firm nifanye kazi kwa kujitolea

Podcast

JF-Expert Member
Joined
Aug 21, 2018
Posts
842
Reaction score
1,032
Habarini ndugu zangu.

Naomba kama naweza pata sehemu ya Law firm, nifanye kazi kwa kujitolea kwa kipindi hiki kwani nimemaliza masomo mwezi huu.

Natanguliza shukrani 🙏
 
Back
Top Bottom