Usije ukamwacha hotel akakamatwa na kuchonga viazi.!! Tulishauna strictly kibao lakin zikageuka kuwa mimba zisizotarajiwa. Poa nitamjulisha yupo hapa.Strictly company tu,gharama kila mtu atajigharamia ila akitaka nimlipie bills i wil do that
Yes we can,mie legendary humu sema tu nimesahau pasword ya akaunt yangu ya kale tuko pamoja
Niko pwani
Unapatikana mkoa gani?
Wapendwa mimi ni binti wa mid 20's natafuta mwanaume wa kunipa kampani,ni strictly kampani no sex involved.niko lonely nahitaji mwanaume wa kuwa karibu nami kama rafiki na kuspend time especialy weekends.maelezo mengine nitayatoa pm kwa interested person.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kabla ya kuwa na mtoto na kuanza kutongozwatongozwaHii ilikuwa kabla hujaenda kwa mganga[emoji1]
Hapana cjapata aliye serious aweza nipm niko strict ktk kukeep promc