Nicksixyo
JF-Expert Member
- Jan 11, 2011
- 944
- 263
Usije ukamwacha hotel akakamatwa na kuchonga viazi.!! Tulishauna strictly kibao lakin zikageuka kuwa mimba zisizotarajiwa. Poa nitamjulisha yupo hapa.Strictly company tu,gharama kila mtu atajigharamia ila akitaka nimlipie bills i wil do that