Natafuta male friend

Natafuta male friend

Strictly company tu,gharama kila mtu atajigharamia ila akitaka nimlipie bills i wil do that
Usije ukamwacha hotel akakamatwa na kuchonga viazi.!! Tulishauna strictly kibao lakin zikageuka kuwa mimba zisizotarajiwa. Poa nitamjulisha yupo hapa.
 
Ohhh Dear !! I'm there .. Unanifrastrate Bwana unajaua am jealous and what is all this????
 
wewe uko wapi au unatafuta mwanaume wa kukupa company awe na sifa zipi na awe katika mkoa gani?
 
Utapata lakini kumbuka 'EVERY BODY KNOWS TO LOVE BUT FEW PEOPLE CAN STAY IN LOVE WITH ONE PERSON FOR EVER'
Ni usemi ambao una ukweli kabisa
 
Wapendwa mimi ni binti wa mid 20's natafuta mwanaume wa kunipa kampani,ni strictly kampani no sex involved.niko lonely nahitaji mwanaume wa kuwa karibu nami kama rafiki na kuspend time especialy weekends.maelezo mengine nitayatoa pm kwa interested person.

nahc ntakufaa.n2mie info zako hapa jamvin
 
Noo! this can nt be sereous.huwezikosa company! it means hata shule hukusoma,na ikiwa ndio vp classmets,(we jibaba)co du
 
Hapana cjapata aliye serious aweza nipm niko strict ktk kukeep promc

Mwacheni latoya, ana akili sana urafiki husaidia sana maishani, kuna baadhi ya vitu mtakuwa mnasaidiana kuachia mbali ngono, mambo ya kijamii ushauri na mawazo chanya, nilikuwa natafuta rafiki kama latoya,
 
Itakuwa ana shida flani inamzuia ku x kama yuko kamili sidhani mpeni hongera kwa utamaduni wa kwao
 
Back
Top Bottom