Habari?
Kama kichwa kilivyo, mimi ninafanya kazi ya kuajiriwa ,na mke wangu ni mfanyabiashara tuna watoto watano, wawili bado wadogo chini ya miaka mitano. Wengine wapo miaka 12, wapili 9 na watatu 7.
Wadada wa kazi wanasumbua sana. Mama na baba walitangulia tangu nikiwa mdogo, pia mke wangu hivyo hivyo.
Nina miaka 45 mtu mzima ila kuna muda nataka ushauri wa wazazi, Sasa hapa nikafikiria kutafuta Mama mtu mzima over 60 years awe mama wa hiari.
Pia, asaidie kuwaangalia watoto badala ya house girl muda tunaokua busy. Hivi hiki kinawezekana kweli?