Poor Brain
JF-Expert Member
- Jul 5, 2019
- 28,865
- 58,677
Unajiamini sanaTuko pamoya😂😂
Haiwezekani 😎
Unajiamini sanaTuko pamoya😂😂
Haiwezekani 😎
🫰Unajiamini sana
Hao watoto wanahitaji mapenzi ya mama Yao na sio mtu mwingine ni wadogo wanahitaji wazaz zaid kuliko mtu yoyote kaz zenu zisiwanyime haki zao hao watoto
Unamwajiri mtu Ili umlipe lakin je anajua malezi? Au atakuwepo Kwa ajili ya mwisho wa mwez