Ila humu mbona mtu kukufanya u expose identity yako ni rahis sana kama hana haraka na wewe, anakupata vizuri kabisaa yaniIli tuexpose identity zetu mtuteke??
Fara wewe
Una uhakika Beka ni Miss?πMimi Nataka Uwe Kipenzi Changu,,Kama Hutojali Nikukaribishe Pm Au La Hasha Unikaribishe Pm Kwako Miss....
Au ndo kuja kuanza kufukua tope tu.!!!Una uhakika Beka ni Miss?π
Inawezekana, mnapoanza kuconnect ndio mnapojuana na kama kuna vitu mnaendana mtajua tu, nina marafiki kadhaa nimekutana nao Facebook wengine wapo Nchi za mbali na tunawasiliana vizuri sana.ππ unawezaje kua na rfiki usiemjua, mnawezaje ku connect