Na Uhakika Ni Miss,,,Lakini Si Miss Natafuta..Una uhakika Beka ni Miss?😁
Ooh sawa nikajua Beka, BakariNaitwa Bheka sio Beka ni kama wengine huitwa Bhoke, haya ni majina ya asili
Kuna mpya gan huko facebookAsante Tebenga zaidi nimetokea Facebook
Sijaelewa point yako ni ipi umenichanganya zaidi kwenye hitimisho lako, unaweza ukafafanua zaidi Rodrick?Nyie ndo badae mnakuja kuanza kuraumu watu na kuanza kudai akuna marafiki wa kwel kumbe ni ujinga wenu
Mimi na ww kukutana tu jamii forum ushanifanya rafiki yako na kila week end unataka tuwe pamoja unanijua vzr
Mtu umesoma nae primary au sekondari uko singida leo hii mmekutana dar unataka awe rafiki yako swali unamjua vzr au kisa ulisoma nae
Umeajiriwa apo ofisini umekuta wafanyakazi wenzako unataka wawe marafiki zako na kila week end mko pamoja sku akikutenda unakuja jamvini kuraumu marafiki
Kumbe ukwel ni kwamba watu wengi hatujui nini maana ya rafiki na mtu wa karibu watu wa karibu ni wengi sana ila marafiki ni wachache sana jmn tujifunze ilo
Mbona niliaminishwa Jamii Forum ni jukwaa la wasomi? lakini ninayokutana nayo afadhali hata sie wa Facebook ama hivi ndivyo wasomi hufikiri?Huko mraani kwenu, unaishi na majini?
Anza kutafuta marafiki mtaani kwenu na kwenye majukumu ya kila siku.
Il kama ni tangazo, basi wanakuja ila yaishie hukohuko
Hilo waulize wasomi wenzio mamaMbona niliaminishwa Jamii Forum ni jukwaa la wasomi? lakini ninayokutana nayo afadhali hata sie wa Facebook ama hivi ndivyo wasomi hufikiri?
Karibu sana jukwaani... Huku watu wa aina zote wapo so ni wewe tu kuchagua wa aina yako.Hello watanzania,
Nimetokea Facebook, Insta na Tiktok nimekuja Jamiiforums kujifunza mambo mbalimbali na kutengeneza marafiki pia,
Nahitaji marafiki makini, wenye akili timamu, wacheshi, wakarimu, wenye uelewa wa mambo ya duniani, wenye fikra pevu, jinsia yoyote,
Mimi ni Mwanamke, elimu darasa la 7 ndio maana natamani kupata marafiki wenye upeo mkubwa kunizidi ili nijifunze mengi,
Ahsanteni