Natafuta Marafiki wa kubadilishana nao mawazo

Huko mraani kwenu, unaishi na majini?
Anza kutafuta marafiki mtaani kwenu na kwenye majukumu ya kila siku.

Il kama ni tangazo, basi wanakuja ila yaishie hukohuko
 
Nyie ndo badae mnakuja kuanza kuraumu watu na kuanza kudai akuna marafiki wa kwel kumbe ni ujinga wenu

Mimi na ww kukutana tu jamii forum ushanifanya rafiki yako na kila week end unataka tuwe pamoja unanijua vzr

Mtu umesoma nae primary au sekondari uko singida leo hii mmekutana dar unataka awe rafiki yako swali unamjua vzr au kisa ulisoma nae

Umeajiriwa apo ofisini umekuta wafanyakazi wenzako unataka wawe marafiki zako na kila week end mko pamoja sku akikutenda unakuja jamvini kuraumu marafiki

Kumbe ukwel ni kwamba watu wengi hatujui nini maana ya rafiki na mtu wa karibu watu wa karibu ni wengi sana ila marafiki ni wachache sana jmn tujifunze ilo
 
Sijaelewa point yako ni ipi umenichanganya zaidi kwenye hitimisho lako, unaweza ukafafanua zaidi Rodrick?
 
Huko mraani kwenu, unaishi na majini?
Anza kutafuta marafiki mtaani kwenu na kwenye majukumu ya kila siku.

Il kama ni tangazo, basi wanakuja ila yaishie hukohuko
Mbona niliaminishwa Jamii Forum ni jukwaa la wasomi? lakini ninayokutana nayo afadhali hata sie wa Facebook ama hivi ndivyo wasomi hufikiri?
 
Mbona niliaminishwa Jamii Forum ni jukwaa la wasomi? lakini ninayokutana nayo afadhali hata sie wa Facebook ama hivi ndivyo wasomi hufikiri?
Hilo waulize wasomi wenzio mama
 
Karibu sana jukwaani... Huku watu wa aina zote wapo so ni wewe tu kuchagua wa aina yako.
 
Mmmmh. Huu Mwandiko mbona Sio wa Darasa la Saba Kabisa.

Ila Karibu JF.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…